Nina Magnet ni nafasi salama na yenye mwongozo wa vitendo kwa mtu anayetamani kupona baada ya kuvunjika moyo, kujenga kujiamini, kujipenda tena na kuunda mahusiano yenye afya, heshima na utulivu wa ndani.
Ninamagnet ilianza kutokana na hamu ya kuwasaidia wanawake na watu wazima kurudi kwao, kujipenda tena, na kujenga mahusiano yenye afya baada ya maumivu ya kihisia.
Msingi Wangu
Kila somo linakualika ujisikilize, upone kwa upole, na ujijenge bila kujihukumu.